MASOMO


Katika ukurasa huu kutakua na mafundisho ya masomo mbalimbali yatakayoletwa na mtumishi wa Mungu Mwalimu Jonathan P. Dallu.
Masomo haya yatakuwa yakiletwa kila wiki, ni vyema ukatenga muda wako kupitia ili uweze kujifunza mengi zaidi toka kwenye Biblia takatifu.
Baadhi ya masomo ni kama yafuatayo.

I. SOMO LA VITA VYA KIROHO
Tunajifunza somo hili kutoka katika kitabu cha waefeso sura ya kumi msitari wa kumi hadi wa kumi na nane,.
(Efes 6:10-18 )Kifungu katika kitabu cha waefeso kinaonyesha  maisha  ya ukristo ni vita. Tunapambana na shetani na mapepo yake katika  ulimwengu  wa  roho.
(soma zaidi hapa)

II. SOMO LA MAJARIBU

Jaribu ni tendo la kumvuta mtu, kumshawishi,kumdanganya kwa lengo la kumtaka mtu huyo atende dhambi. YAKOBO 1:14-15, MWANZO 3:5-6  (soma zaidi hapa...) 


III. SOMO LA KUFANYWA UPYA
Wakolosai 3:10 Mkivaa utu mpya, unaofanywa upya upate ufahamu sawasawa na mfano wake yeye aliyeuumba (soma zaidi hapa)

IV. SOMO LA USIOGOPE TUMAINI LIPO (video) Itazame kwa kubofya hapa

No comments:

ZILIZOPITA

MADA MAARUFU

KUHUSU SISI

Usharika wa Kidamali

WATEMBELEAJI