Kuna maswali mengi tunakutana nayo pindi tunaposoma biblia. Maswali haya mara nyingi yametuweka katika wakati mgumu wa kujiuliza vitu vingi.
Ni wakati wa kutumia fursa hii kuuliza swali lako ili lipatiwe ufumbuzi katika ukurasa huu na watumishi mbalimbali wa Mungu.
2 comments:
Yesu aliposema hawa hawatakufa mpaka wauone ufalme wangu alimaanisha nini?
Kwanini Yesu alitumia mfano wa kusema wanawali wapumbavu badala ya wajinga?
Post a Comment