Karibu kwenye blog ya "Back To the Bible", Blog hii itakuwezesha wewe kama mtembeleaji wa blog hii kuweza kujifunza masomo mbalimbali kutoka kwenye Biblia.
Katika Blog hii vifungu mbalimbali vya kwenye Biblia Takatifu vitajadiliwa kwa ufasaha zaidi. Watumishi mbalimbali wa Mungu watatoa fikra mbalimbali katika maswali, vifungo ambavyo havijapatiwa ufumbuzi.
Usisite
kuitembelea kila wakati ili uweze kujifunza mambo mbalimbali. Pia
utaweza kuona matukio mbalimbali yanayotokea katika mikutano, ibada na matukio mengine mbalimbali yatokeayo katika makanisa yetu. Nakukaribisha kwa moyo mkunjufu, usisite kuweka maoni yako..
No comments:
Post a Comment